Wawekezaji Ongata Rongai

20160817_180941

Salama Bakhita

Biashara ni mojawapo ya zile zinazochangia kuimarisha sekta ya uchumi ya nchi au mji. Mbali na kuwepo kwa biashara za serikali, wawekezaji mbalimbali kutoka nchini pamoja na wale kutoka nchi za nje wameweka rasilimali zao katika biashara tofauti nchini.

Mji wa Rongai ni mojawapo ya miji inayochipuka kwa haraka kutokana na wawekezaji ambao wamepata fursa ya kutekeleza biashara ili kumudu idadi ya watu wanaoendelea kuongezeka katika mji huo.

Wanafunzi ni miongoni mwa wale wanamiliki mji wa Rongai kutokana na vyuo vikuu vilivyoko huko. Jambo hili limewapa wawekezaji mawazo ya kufungua biashara zinazoambatana na mahitaji ya wanafunzi hawa .

Majumba ya kuishi ni mojawapo ya biashara ambazo zinaendelezwa na wawekezaji hao kwani wanafunzi wengi huishi nje ya shule na hutaka majumba yenye bei nafuu ili waweze kulipia bila tashwishi. Hoteli ndogo ndogo pia ni bishara ambazo wawekezaji wamezingatia kwani wamefanya utafiti na kupata kuwa wanafunzi wengi huwa hawajipikii ilhali wanategemea vyakula vilivyopikwa  kwenye hoteli kwa bei nafuu.

Ongezeko la idadi ya watu katika mji huu wa Rongai ni furaha kubwa kwa wawekezaji kwani hao ndio wanaamuwa kuwepo kwa bishara mbalimbali.

 

Advertisements

Mbinu Za Mawasiliano

Salama Bakhita

2016-08-16 22.59.00
Hapo awali wakati wa enzi za mababu wetu, watu walikuwa na mbinu tofauti za kuwasiliana mojawapo ikiwa kuandikiana barua.Mbinu hii ilikuwa na utatanishi kwani ilichukuwa mda mrefu mrefu kumfikia aliyekuwa ameandikiwa. Hali hii iliendelea kwa mda lakini na wakati, njia za kuwasiliana ziliimarika na sasa watu walitumia rununu. Hii ilirahisisha kila kitu na mtu angepata ujumbe kwa haraka.
Sasa hivi, teknolojia imeimarika, kwani ,bali na kutumiana ujumbe mfupi kwa simu na kupiga, simu zinaweza zikatumika kuwasiliana na mtu ana kwa ana, tofauti ni kuwa hayuko karibu nawe.
Kutokana na teknolojia hii mpya, watu wengi wamejiunga na mitandao mbalimbali ya kuwasiliana. Kutokana na utafiti uliofanywa katika chuo kikuu cha Multimedia, asilimia 47.62 wako katika mitandao hiyo. Unaweza ukafikiri wako hapo kwa minajili ya masomo lakini sivyo, wengi wao wamejiunga ili waweze kuwasiliana na wenzao kupitia Whatsapp, Facebook na hata Twitter.
Sitakuwa nimekosea nikisema kuwa, mtandao umeimarika ndio manake wengi wanawasiliana na wenzao kwa mda mrefu kwa siku. Kitu kingine ni kuwa , habari inaenea kwa haraka ,kwa mfano sasa hivi naweza nikapiga picha na nikatumia Whatsapp kumtumia rafiki yangu au hata marafiki wangu kwa wakati mmoja na haitachukuwa zaidi ya sekunde moja kama haijawafikia.
Ni dhahiri kuwa mawasiliano ni muhimu na ndiposa wanafunzi wengi wako katika mitandao hii na pia kujiburudisha.

https://www.surveymonkey.com/results/SM-BYH2B6NT/.

Kubobea Kwa Ujasiriamali

Salama Bakhita

2016-08-16 22.02.42

Ujasiriamali ni mchakato wa kugundua njia mpya za kuchanganya rasilimali. Wawekezaji mbalimbali wana njia tofauti za kupata faida kutokana na biashara tofauti wanazojiunga nazo.

Katika mtaa wa Ongta Rongai,wengi wamejishirikisha na ujasiriamali kupitia biashara ndogo kwa mfano kufanya kazi kwa hoteli, kuuza nguo, bidhaa za umeme na kadhalika. Hii ni njia mojawapo ya kupata mapato yao ya kila siku.

Watu ambao wanafanya kazi ofisini huenda wakawadharau wanabiashara hawa kwa vile kazi wanazozifanya huonekana kuwa na mapato madogo, lakini kile ambacho hawajui ni kuwamba wengi wao ni watu ambao wamesoma na bado wanaendelea.Hii ni dhahiri kwani kulingana na utafiti nilioufanya katika chuo kikuu cha Multimeduia, asilimia 85.29 ya wanafunzi ni wanabiashara.

Ni wazi kuwa wanafunzi hawa wanakusanya faida nyingi ambazo wanaweza wakatumia kujilipia karo na pia kujiendeleza.Ingekuwa kinyume na matokeo nimekusanya, basi nashuku wanafunzi hawa wangekuwa wanabiashara, kwani wangezingatia na masomo yao.

Bila shaka akili ni nywele, wanafunzi hawa wametufunza kujituma ili tufanikiwe maishani.

https://www.surveymonkey.com/r/KHMBRJN

 

Mji Wa Biashara

Salama Bakhita

2016-08-16 22.02.02

Wakati mtu anawaza jinsi ya kufungua biashara yake, huwa na vitu vingi akilini mojawapo ikiwa pesa za kuanzisha biashara yake na pahali pa kuifungulia. Mtu anapaswa kuwa makini na uamuzi wake asije akajuta mwenyewe.
Kutokana na utafiti nilioufanya katika chuo kikuu cha Multimedia, asilimia 66.67 wameamua kufungua biashara zao Rongai kwani wateja ni wengi. Hii ina maana kuwa , fursa ya kubobea kwa biashara zao iko juu kwani huwezi ukafanya biashara pahali ambapo pana ukosefu wa wateja, labda kama hauko tayari kupata faida kutokana na biashara yako.
Mji wa Rongai haukuwa unajulikana na wengi hapo awali na uwezekano ni kuwa, haukuwa umekuwa kiuchumi ndiposa watu wengi waliishi Nairobi. Lakini kutokana na utafiti huu ni wazi kuwa, mji wa Rongai ni mojawapo ya miji ambayo imeimarika na hivyo watu wengi wanapendelea kuishi huku.
Uwezekano wa kupata nyumba ya bei nafuu mjini Rongai ni mkubwa ukilinganisha na pahali pengine popote. Hivyo basi watu wengi wanaonelea bora kuishi huku na hali hii inachangia katika kuongezeka kwa idadi ya watu. Bila shaka Rongai imejitambulisha kama mji wa biashara na hata kutangulia miji ingine.

https://www.surveymonkey.com/r/KHMBRJN

 

Analysis of Gender in Ongata Rongai

Capture 6

Joan Omambia

Kajiado County has a combination of a child rich and a transitional population structure. Overall, 42% of the population is aged between 0-14 with Kajiado Central constituency at 50%; Kajiado West constituency at 48%; and Kajiado South constituency at 49%, having the highest proportion of children.

The county also has a high proportion of the working age (15-64) population especially in Kajiado North constituency at 66% and Kajiado East constituency at 60. This may be explained by the growth of Ngong and Ongata Rongai Wards in Kajiado North as well as Kitengela Ward in Kajiado East that have attracted high numbers of migrants from rural areas and provided residency for people working in the city of Nairobi and its environs.

In our survey on Entrepreneurship in Ongata Rongai town, 32 out of the possible 49 people who answered to our survey were female, which was 66.67% of the total number. Ongata Rongai is dominated by more women paralleled to male domination.Women are easily accessible since most of them work in the town as fruits and vegetable vendors and casual labourers. This proves that ladies are more readily to find time to answer surveys compared to their male counterparts.

Males were 29.17% which was 14 out of 49 people. People of other genders took 4.17% which was two out of 49 people.

Age survey on Rongai residents

Capture 4

Joan Omambia

Ongata Rongai is a fast developing residential urban aggregation within Kajiado County.Several reasons explain the growth of this area which started in the late 1950’s as a stone mining township in present day Kware (quarry) area of Rongai. As a local satellite urban centre, it owes its existence to proximity to Nairobi. Second, Ongata Rongai grew out of a small settlement put up by casual labourers who provided labour to neighbouring affluent Karen.

In our survey on Entrepreneurship in Ongata Rongai, 18.75% of persons who answered the survey lie between the age of 15 years to 20 years old. In the bracket of 21years old to 25years, lies the highest nember of respondents which amounts to 77.08% who were 37 out of 49 people.Dominated by economic motive and in total disregard of social, aesthetic and environmental long-term impacts on the areas’ inhabitants; private developers dictate pace of physical developments. This has resulted in high densities, overcrowded housing, insanitary conditions, diminishing open spaces, and haphazard peripheral development.

This is precipitated by increasing demand for shelter, physical and social infrastructure, ineffective physical planning systems, informal investment finance and speculative land costs. The 26 to 30years old bracket was represented by 4.17% who were 2 out of the possible 49 people. There were no persons between the 30 to 35 age bracket.

Internet Survey for 3rd Year Journalism students

Capture 7

Joan Omambia

The research findings indicate that the students’ level of awareness about the internet services offered at the university was high. The students had good basic computer and internet skills; however, they lacked more advanced skills and this negatively affected their use of internet resources. The students used the internet for various purposes, including to study, teach and do research; to communicate; and for social interaction.

In the survey on Internet usage by the Data Journalism class of May 2016, most students in the Bachelor of Journalism 3rd year class prefer Safaricom as their Internet Service Provider. The study concluded that the costs of Internet communications were less expensive than for telephone or fax, making the Internet an inexpensive and convenient tool to use.

36 0ut of 43 students in this class use Safaricom which amounts to 85.71%. Airtel is the next suitable Internet Service Provider for them which is used by 14.29% of them which is 6 out of 42 students. Other Internet Service Providers like Orange and Telkom wireless are not preferred by the students.